SKU: DT461 | DVD I, II | Year -
Tamaa Wivu na Chuki, vinaweza kusababisha kufanya mauaji au dhambi ambazo malipo yake yanakuwa si faida kama ulivyotarajia. Hivyo inakuwa ni Zero Done kama ilivyotumika kama jina la filamu hii, fuatilia kisa hiki
Casts: Yusufu Kaimu, Ully Mwalulesa, Patcho Mwamba, Khamis Nurdin, Saimon Mwapangata, Halima Madiwa