Jane's Journey

Home » Casts » Isike J. Samwel


Isike J. Samwel

Actor | Film Writer | Producer

Isike J. Samwel kijana mwigizaji na mtayarishaji wa filamu Swahiliwood Isike alianza kuandaa filamu yake ya kwanza kabisa akiwa katika umri wa chini ya miaka kumi nane wakati huo alikuwa kidato cha pili .

Isike J. Samwel

“Wakati nikisoma shule ya Sekondari nilikuwa nikitumia muda wa likizo na mapumziko kuandaa na kurekodi filamu zangu nilikuwa nikiwatumia wasanii wakubwa na wenye majina kulingana na soko lakini pia nilikuwa nahofia shule wakigundua naigiza inaweza kuwa ni shida lakini kwa sasa naandaa na kuigiza pia hata filamu yangu mpya nimeigiza,”anasema Isike.

Isike ana zaidi ya filamu nane alizoandaa mwenyewe na kuwashirikisha wasanii nyota Swahiliwood filamu hizo ni Two Sisters, Missed Call, Love in School, The Impact, The Weekness, filamu ya Ivan hizi ni baadhi ya filamu alizoandaa kijana huyo ambaye ana umri wa miaka 19 tu kwa sasa pamoja na kandaa filamu lakini yupo katika mipango ya kujiendeleza kimasomo na atasoma mambo ya filamu katika vyuo vikubwa kimataifa.

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Isike J. Samwel
  • Twitter Page of Isike J. Samwel
  • YouTube of Isike J. Samwel
  • Website of Isike J. Samwel
 

More Photos

 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More