Home » Drama, Educational, Family, Romance, » Chumo
Juma is a poor fisherman who loves telling tales. Amina is the girl who loves to hear his stories. They long to be together, but Amina’s father, Ali, wants a better life for her. Ali finds this in Yustus, a rich but self-serving young suitor.
Juma must put everything on the line to save their love, but he must sacrifice more than he bargained for in order to succeed. Juma ni mvuvi maskini anayependa sana kupiga hadithi. Amina ni msichana anayependa kusikiliza hadithi zake . Wanatamani wawe pamoja, lakini baba yake Amina, Ali, anataka binti yake awe na maisha mazuri. Ali anamwona Yustus, kijana tajiri, mwenye kujituma kuwa ndiye anayefaa kuwa mchumba.
Inambidi Juma atumie nyenzo zake zote kuliokoa penzi lao, lakini ni lazima ajitoe mhanga zaidi ya alivyopatana ili afanikiwe.Kampuni ya Uzalishaji
Media for Development International - Tanzania
Cast: Hussein Mkiety (Juma), Yusuf Mlela (Yustus), Jokate Mwegelo (Amina), Jafari Makati (Ali)
Ufadhili
Johns Hopkins University Center for Communication Programs (JHUCCP), na
Mfuko wa Rais wa Kupambana na Malaria (PMI) kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani (USAID)
Wahusika na Mafundi
Mwongozaji
Jordan Riber
Watayarishaji
John and Louise Riber
Mchanganya picha
Owen Prum
Mwongozaji Msaidizi 1 - Ezequiel Odhiambo
Mwongozaji Msaidizi 2 - Tito Mwaipopo
Picha za sinema
John Riber
Jordan riber
Andrew Whaley
Ali Mbwana
Wahariri
Jordan Riber and Louise Riber
Sauti na Muziki
Julian Gordon Hastings
Wahusika Wakuu
Juma: Hussein Mkiety
Amina: Jokate Mwegelo
Ali: Jafari Makati
Yustus: Yusuph Mlela
Imetayarishwa Tanzania na kufadhiliwa na JHU-CCP kupitia Mfuko wa Rais wa kutokomeza Malaria na USAID. Chumo inawasilisha ujumbe wa malaria wakati wa ujauzito kupitia hadithi ya kusisimua ya wapenzi wenye bahati mbaya.
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
- Chumo |
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
|
|