Home » Action, Drama, » Pain for Pain P.F.P


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Pain for Pain P.F.P

Stock:
Our Price: $8.00
Genre: Action/Drama/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2013

Sikuzaliwa Ili nije kulipa kisasi nawala kisasi sio maisha yangu, Ila maumivu yanapozidi moyo hukosa imani, furaha na upendo, na moyo ukosapo amani furaha na upendo, roho ya ubaya hujileta na uzalendo hutoweka hapo ndipo roho ya kisasi hutokeza. Tamaa za mali na roho mbaya za wanadamu…

More >
 
 

Sikuzaliwa Ili nije kulipa kisasi nawala kisasi sio maisha yangu, Ila maumivu yanapozidi moyo hukosa imani, furaha na upendo, na moyo ukosapo amani furaha na upendo, roho ya ubaya hujileta na uzalendo hutoweka hapo ndipo roho ya kisasi hutokeza. Tamaa za mali na roho mbaya za wanadamu ndizo zimenipelekea niwe mtu mwenye hasira, ukatili na roho mbaya ya chuki. Maandiko yanatema usilipe ubaya kwa ubaya. Je! ni haki kufuta deni unalodaiwa kwa kumfupishia uhai anaekudai? naamini hata siku moja ubaya haulipwi kwa tabasamu, leo nimefuta machozi kwa kitambaa chenye pilipili nawe jiandae kujifuta machozi
kwa kitambaa chenye tindikali.

Starring: Billy Mjivuni, Hemedi Suleiman, Jacqline Wolper, Charles Magari, Hashim Kambi

Steps Entertainment presents Bridge Production film “P.F.P (PAIN FOR PAIN)” Starring Billy Mjivuni, Hemedi Suleimanm Jacline Wolper, Charles Magari, Editor Geofrey George, Story Billy Majivuni, Director Billy Mjivuni, Script Writer Moses Masami, Cameraman Geofrey George, Producer Billy Mjivuni, xecutive Producer Steps Entertainment Ltd.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More