Hutokea mwanadamu akijisahau Akadhani mafanikio yake ni kutokana na akili na juhudi katika kutafuta, Akasahau nafasi ya Mwenyezi Mungu akatakabari. Fimbo Mwenyezi Mungu inapompiga ndio huzinduka ni wangapi hupata nafasi ya pili ili wajirekebishe? fuatilia kisa hiki…
Casts: Abdallah Mkumbila, Halima Yahaya, Bakari Makuka,
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|