Jane's Journey

Home » Casts » Tumaini Bigilimana


Tumaini Bigilimana

Other Name/s: Tumaini Bigilimana "Aunt Fifi"

Actor | Director | Producer

Tumaini Bigilimana "Aunt Fifi"

MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu nchini Tumaini Bigilimana ‘Aunt Fifi, Aunty Fifi ndiye mtunzi wa filamu ya Senior bachelor filamu iliyomletea tuzo kadhaa msanii Jacob Stephen ‘JB’ kupitia filamu hiyo ambayo, pia alipata kutayarisha filamu yake ya aliyoipa jina la Kizungumkuti na kufanya vizuri.

Kama hiyo haitoshi Fifi alipata kutamba katika filamu mbalimbali zikiwemo Copy, Sound of Death, Senior Bachelor, I Deserve It, Kaburi la Mapenzi, Fake Smile, Daddy, Cross My Sin na nyinginezo.

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Tumaini Bigilimana
  • Twitter Page of Tumaini Bigilimana
  • YouTube of Tumaini Bigilimana
  • Website of Tumaini Bigilimana
 
 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More