Home » Crime, Horror, » Basilisa


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Basilisa

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Crime/Horror/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2011

Basilisa ni kisa cha kutisha kilichowasibu vijana sita TOM, KENNY, VEDA TINA, ROSE na NATALIA,baada ya kumdhihaki chizi mmoja aliyewaomba madafu waliyokuwa wakinywa na kula wakielekea mapumzikoni mwishoni mwa wiki. Hasira ya BASILISA aliyetokea kama chizi (MZIMU WA MTU ALIYEFARIKI…

More >
 
 

Basilisa ni kisa cha kutisha kilichowasibu vijana sita TOM, KENNY, VEDA TINA, ROSE na NATALIA,baada ya kumdhihaki chizi mmoja aliyewaomba madafu waliyokuwa wakinywa na kula wakielekea mapumzikoni mwishoni mwa wiki. Hasira ya BASILISA aliyetokea kama chizi (MZIMU WA MTU ALIYEFARIKI MUDA MREFU SANA) iliamshwa na vijana hawa baada ya kumkejeli na kumpiga alipowaomba madafu (kwa kuwapima imani) safari yao ghafla ilibadilika na kujaa vituko vya mauza uza, ugomvi na hata kusalitiana wenyewe kwa wenyewe. Hatimaye, baada ya majaribu hayo ya kutisha, Basilisa anajitokeza kwao kwa maumbile yake ya asiliā€¦ JE NINI KITATOKEA? FUATILIA MKASA HUU WA KUSISIMUA.

Cast: Issa Mussa; Suleiman Saidi; Adam Kuambiana; Single Mtambalike; Kajala Masanja; Ummy Klenceslaus & Wema Sepetu.

Story & Script by - Mrs Cyncthia Cloud; Editor- Sama; Camera - Nick; Production- E- Media; Director-Issa Mussa Cloud 112

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More