Home » Adventure, Comedy, Drama, Family, » Campus


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Campus

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Adventure/Comedy/Drama/Family/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2012

Ni stori ambayo kimsingi inahusu maisha ya chuoni. Pastor Miyamba amecheza kama mwanafunzi mwenye bidii na hana muda wa mapenzi, rafiki yake DAVID ambaye yupo ndani ya mahusiano ya dhati ya mapenzi na SEKELA wakati huo huo anafanya vizuri katika masomo. Siku moja alimsaidia mwanafunzi…

More >
 
 

Ni stori ambayo kimsingi inahusu maisha ya chuoni. Pastor Miyamba amecheza kama mwanafunzi mwenye bidii na hana muda wa mapenzi, rafiki yake DAVID ambaye yupo ndani ya mahusiano ya dhati ya mapenzi na SEKELA wakati huo huo anafanya vizuri katika masomo. Siku moja alimsaidia mwanafunzi mwenzake JACLINE ambaye alipata ajali ndogo zoezi ambalo lilisababisha maisha yake kubadilika na kuwa mbaya. JACLINE alivutiwa sana na David na alifanya kila awezalo kwa nguvu zake zote ili kuharibu mahusiano kati ya DAVID na SEKELA kwa kiasi fulani alifanikiwa ila alikaribia kupoteza maisha yake . AHMED OLOTU A.K.A MR. CHILO muhadhiri wa chuo aliotumia madaraka yake vibaya alikuwa na mahusiano mabaya na wanafunzi wa kike na akafikia kiwango cha kumfelisha yeyote anayempinga katika vitendo vyake hivi viovu

Casts: Emmanual Mnyamba, Ahmed Olutu,

Presentation Written & Directed by- Emmanuel Mnyamba; Produced by- Sameer Srivastava & Sajni Srivastava; Cameraman- Ibrahim; Sound Engineer- jay Kumar; Sound Recordist- Pawan Kumar; GFX- Shazzad Khan; Editor- Abdul Latif & Olivia Ngatia

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More