Home » Action, Drama, » Dakika ya Mwisho


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Dakika ya Mwisho

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Action/Drama/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2013

Masumbuko ni kijana maskini [fukara] anayeishi katika maisha duni, wakati maisha yakiendelea…  mpenzi wake anapatwa na maradhi ambayo yanahitaji kufanyiwa upasuaji ili apone,Daktari anamtajia masumbuko kiasi kikubwa cha pesa ili aweze kumtibia mpenzi wake. Masumbuko…

More >
 
 

Masumbuko ni kijana maskini [fukara] anayeishi katika maisha duni, wakati maisha yakiendelea…  mpenzi wake anapatwa na maradhi ambayo yanahitaji kufanyiwa upasuaji ili apone,Daktari anamtajia masumbuko kiasi kikubwa cha pesa ili aweze kumtibia mpenzi wake. Masumbuko anaapa kufanya lolote ili kumnusuru mpenzi wake japo nana pesa.Matokeo yake anajikuta akifanya- matukio ya ajabu na mwishowe nae anajikuta hospitali kwa daktari yuleyule anaemtibu mkewe…..je.? masumbuko atafanikiwa kumsaidia mpenzi wake ili apone.? ENDELEA…......

Casts: Niva, Mkamba, Monalisa

Production- Meda Galax Production | Director- John lister | Story - John lister Editor- John lister | Script- Kanuti | Sound - Rashidi Mrutu | Props- Mshana Musa | Continuty - Anda | Boom - Hamis Salum Graphics - Rashid Mrutu | Ex-producer- Mshana Musa

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More