Home » Action, Drama, » Determination


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Determination

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Action/Drama/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2011

Utafiti Wa Mazingira Ndio Nooto Yake.Lakini Baba Aliyemzaa Ndio Kikwazo Kikubwa Katika Kutimiza Ndoto Za Kijana Wales.Bastola Ndio Kitu Pekee Alichoona Kinafaa Kumuibia Baba Yake Yake Na Kutoroka. Akiwa Njiani Na Wenzake Wakielekea Porini Kwenye Kazi Yao, Wanamkuta Msichana Mwenye…

More >
 
 

Utafiti Wa Mazingira Ndio Nooto Yake.Lakini Baba Aliyemzaa Ndio Kikwazo Kikubwa Katika Kutimiza Ndoto Za Kijana Wales.Bastola Ndio Kitu Pekee Alichoona Kinafaa Kumuibia Baba Yake Yake Na Kutoroka. Akiwa Njiani Na Wenzake Wakielekea Porini Kwenye Kazi Yao, Wanamkuta Msichana Mwenye Majeraha Akiwa Amelala Barabarani. Ni Stori Ya Kusisimua Inazunguka Tukio La Huyo Msichana.Kumuokota Inakua Chanzo Cha Mtafaruku Baina Yao Huku Mauaji Yakihusisha Ile Bastola.

Misukosuku Ya Hapa Na Pale Inachua Nafasi Kubwa Mpaka Inafikia Polisi Kuingia Kati Polisi Wanapata Wakati Mgumu Kwenye Zoezi Hilo…Endelea

Casts: Charles Magari, Jacqueline Wolper, Simon Mwapangata, Federica Magriocca, Patcho Mwamba

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More