Home » Drama, Fantasy, Spiritual, » Fake Pastors


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Fake Pastors

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Drama/Fantasy/Spiritual/


SKU: |
DVD I |
Year - 2007

Vijana watanashati Vicent Kigosi (Patric) na Adam Philip Kuambiana (Petro) waliohitumu Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro Vichwani mwao wanaelewa kitu kimoja tu walichoambiwa tangu utotoni kuwa ukiwa na digree masiha yatakuwa rahisi jambo ambalo baada ya kuingia mitaani wanakuta ni…

More >
 
 

Vijana watanashati Vicent Kigosi (Patric) na Adam Philip Kuambiana (Petro) waliohitumu Chuo Kikuu cha Mzumbe, Morogoro Vichwani mwao wanaelewa kitu kimoja tu walichoambiwa tangu utotoni kuwa ukiwa na digree masiha yatakuwa rahisi jambo ambalo baada ya kuingia mitaani wanakuta ni tofauti kwani hakuna ajira na maisha yanakuwa magumu sana kwao.

Baada ya kutembea katika ofisi moja hadi nyingine wakitafuta kazi bila mafanikio, hatimaye wanagundua kuanzisha kanisa ndio suluhisho pekee walilobakiza hivyo wanaamua kuwa wachungaji wa uongo (Fake Pastors) na kuanzisha kanisa kwa lengo la kujitajirisha badala ya kumtumikia Mungu, kazi yao inakuwa ni kuwakamua waumini fedha na mali walizonazo.  Kwakufanya hivyo wanajikusanyia utajiri mkubwa hasa baada ya misada kuanzia kuingia kutoka nje kwa wahisani, baadala ya kufanya kazi ya Mungu wao wanazitumia fedha hizo katika anasa wakilewa pombe na knunua Malaya usiku na ifikapo asubuhi wahubiri injili kama kawaida na kuwfanya wamini wazidi kuwaumini.  Baadae walipjingiza katika biashara haramu dawa za kulevya ndipo Mungu Mbinguni alipoamua kuingilia kati na kuwaadhibu vibaya.

Cast: Adam Philip Huambiana (Petro), Vicent Kigosi (Ray),  Jokette Mwegelo (Jach), Lisa Jensen (Lisa), Blandina Chagula

Producer- Vicent Kigosi, Executive Producer- Eric Shigongo, Director- Gervas Kasiga

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More