Home » Drama, Romance, » Family Vision


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Family Vision

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Drama/Romance/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2010

Frida ni msichana aliyependwa na familia yake na ndoto ya wazazi wa Frida, na Frida mwenyewe ni kusoma ndoto hizo zinakuja kupotozwa na Nick (Cloud) anapomshawish kutaka kumuoa Frida akagoma ila baada ya kushawishiwa ana na Nick (Cloud) hatimaye, anakubali taarifa zinafika katika…

More >
 
 

Frida ni msichana aliyependwa na familia yake na ndoto ya wazazi wa Frida, na Frida mwenyewe ni kusoma ndoto hizo zinakuja kupotozwa na Nick (Cloud) anapomshawish kutaka kumuoa Frida akagoma ila baada ya kushawishiwa ana na Nick (Cloud) hatimaye, anakubali taarifa zinafika katika familia ya Frida, Familia ikapinga kwa nguvu zote wakihitaji amalize shule kwanzan na mengine yatafuata.

Frida kutokana na kukolea kwa penzi la Nick anafosi wazazi kukubali, baada ya kungangania sana hatimaye walikubali kwa shingo upande, taratibu zikafanyika na Frida kutolewa barua , na Frida akaona hiyo ndiyo nafasi kwake akahama nyumbai kwao na kwenda kwa Nick.

Maisha hayakwenda vizuri Nick alimtosa na kumnyanyasa, alirudi usiku na kumfanyia mambo yasiyofaa, waligombana na Frida kwa kuomba arudishwe shule, wazai walimkubali na kumsifu kwa maamuzi yake. Frida akarudishwa shule na kuachana na Nick (Cloud)

Cast: Cloud 112, Frida Joseph, Eliah Mjata

Story by Hedfrida Joseph, Script & Directed by Paul B. Mtendah, Produced by Paulyn R. Mtenda, Line Producer Theofrida Joseph, Camera by Bakari H Mtaila, Production Cutzcut Entertainment

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More