Home » Action, Drama, » Harusi ya Candy


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Harusi ya Candy

Stock:
Our Price: $7.00
Genre: Action/Drama/


SKU: |
DVD I |
Year - 2010

Ilikuwa harusi ya utata pale ilipofungwa harusi ya Angel John “Candy” na Michael Kigahe “James” kwa furaha na msafara kuanza kuelekea kwenye hotel ya kitalii iliyopo pembezoni mwa bahari y hindi, ghafla msafara unatekwa na watu wasiojulikana na kufanikiwa…

More >
 
 

Ilikuwa harusi ya utata pale ilipofungwa harusi ya Angel John “Candy” na Michael Kigahe “James” kwa furaha na msafara kuanza kuelekea kwenye hotel ya kitalii iliyopo pembezoni mwa bahari y hindi, ghafla msafara unatekwa na watu wasiojulikana na kufanikiwa \kutoroka na bi Harusi Candy na Kwenda kumficha kwa millionea mfanyabiashara haramu Matoi “Mr Bha”
Njama za kutekwa Bi Harusi zimefanywa na Matron wake, je lengo la Matron litafanikiwa?
Je James nae atafanikiwa kujua alipofichwa au kumuokoa Candy? Angalia “Harusi ya Candy” upate majibu ya maswali yote haya

Casts: Ajela John, Michael Kigahe, Lucy Paterrly, Eliya Mjata, Abdulawahid Matai, Michael John, Aziz Matai, Lamek Katoto, Ezrone Munuo, Kahabi, Shufaa Mohamed, Fina Kessy, Iddi Salim, Sabrina Mohamed, Maria Osward, Amina Kupaza, Shemweta Saidi, Stanley Martin, Tonito

A Tuesday Kihangala Film presents Harusi ya Candy, Director Tuesday Kihangala,

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More