Home » Drama, » House Girl


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

House Girl

Stock:
Our Price: $7.00
Genre: Drama/


SKU: |
DVD I |
Year -

Mara nyingi wasichana wa ndani wamekuwa wakituhumiwa kwa mambo mbalimbali hasa wizi na kuteka nyumba za watu kwa hisia za mapenzi. sijui nani alaumiwe kati ya mume, mke au msichana wa kazi maarufu kama house girl, katika filamu hii iliyochezwa na msichana machachari katika uigizaji…

More >
 
 

Mara nyingi wasichana wa ndani wamekuwa wakituhumiwa kwa mambo mbalimbali hasa wizi na kuteka nyumba za watu kwa hisia za mapenzi. sijui nani alaumiwe kati ya mume, mke au msichana wa kazi maarufu kama house girl, katika filamu hii iliyochezwa na msichana machachari katika uigizaji wa filamu utapata majibu yote ya maswali yako, hasa pale chozi litakapo kumwagika na kujutia wema wa mama Lutha…endelea kuangalia filamu hii ya House Girl.

Tuesday Kihangala Film, Mtunzi/Muongozaji Tuesday Kihangala

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More