Home » Adventure, Fantasy, Horror, » Inplant from Hell


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Inplant from Hell

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Adventure/Fantasy/Horror/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2010

Martin na Mke wake Terisa (Chuchu Hans) aliyekuwa na anamatatizo ya kupata mtoto. Anashawishika na rafiki yake Talik (Aziz) kwenda kupata tiba ya kichawi na kwa nguvu za madawa hayo aliyopewa Martin na mama mtaalam (Farida Sabu) Terisa anapata ujauzito kwa siku mmoja na kujifungua…

More >
 
 

Martin na Mke wake Terisa (Chuchu Hans) aliyekuwa na anamatatizo ya kupata mtoto. Anashawishika na rafiki yake Talik (Aziz) kwenda kupata tiba ya kichawi na kwa nguvu za madawa hayo aliyopewa Martin na mama mtaalam (Farida Sabu) Terisa anapata ujauzito kwa siku mmoja na kujifungua Mtoto wa kike Cute (Farhiya) na alikuwa mkubwa kwa muda wa masaa ishirini na mme tu mtoto huyu mwenye maajabu aliyeweza kuona Jambo lolote lililotokea na litakalotokea, mwenye uwezo wa kupaa angani kama ndege, kupotea na kutokea popote pale duniani na mwenye mwendo kasi kama mwanga, lakini pasipo kujua mama mtaalam alimpa uwezo kasi kama mwanga.

Lakini pasipo kujua Mama Mtaalam alimpa uwezo Martin wa kuzalisha kwa manufaa yake binafsi kwa nia ya kumchukua mtoto huyo akishazaliwa pamoja na mama yake na kumtoa sadaka kwa Mizimu yake Je? Mama mtaalamu atafanikiwa kumchukua mtoto huyo na Martin atamweleza nini mke wake naye atasemaje kuhusu hilo pamoja na majirani, yote hayo yamo ndani ya filmu hii Inplant from Hell

Cast: Chuchu Hans, Farhiya, Farida Sabu, Cloud

Big One Entertainment Presents Inplant from Hell, Staring Issa Musa (Cloud), Chuchu Hans, Cute (Farhiya) & Farida Sabu (mama Sonia)
Director Takeshi Edwards Kichima, Assistant Directors Alex wa Sponga & Issa Musaa, Casting Chuchu Hans & Azizi, Special Effects Designer Takesh E. Kichima,
Special Effects Supervisor Chuchu Hans, Camera man & Editor Yusuph Qras, Sound Effects Designer Steven Kafuko, Story by Chuchu Hans & Takeshi Edwards Kichima, Producer Aziz Mohamed

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More