Home » Drama, » Jezebele


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Jezebele

Stock:
Our Price: $8.00
Genre: Drama/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2013

Kila mtu anandoto katika maisha…si kila ndoto huwa ni lazima itimie.jezebele binti msomi ana-yeamua kuchanganya ndoto,tamaa na malengo bila kujua kipi kinafaa!  Anajikuta katika maisha ya kikatilLkifedhuli yaliyojaa majuto. Jezebele katika harakati za kujikwamua anapata…

More >
 
 

Kila mtu anandoto katika maisha…si kila ndoto huwa ni lazima itimie.jezebele binti msomi ana-yeamua kuchanganya ndoto,tamaa na malengo bila kujua kipi kinafaa!  Anajikuta katika maisha ya kikatilLkifedhuli yaliyojaa majuto. Jezebele katika harakati za kujikwamua anapata kilema cha maisha bila kujua hapo ndipo….tafrani na jakamoyo linamkumbuka binti huyu mrembo aliyeamini kuwa ndoto na tamaa ndio muongozo wake bila kujali uhalisia wake….je ndoto gani…tamaa zipi na ni kilema kipi alikipata cha maisha?... kwa sababu zipi? Fuatilia filamu hii iliyojaa mafunzo, maonyo na burudani katika jamii za rika zote.

Casts: Hame Dulotu, Diana Choudry, Ally M. Migomba, Chiku Khalid

Story Musa Daudi Coudoger, Producer Musa Dausi Coudoger, Camera Hamisi M. Mohamed, Script Musa Daudi Coudoger, Director Musa Daudi Coudoger, Executive Producer Pilipili Entertainment

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More