Unapokuwa na elimu ya juu sio kwamba umeshakuwa bingwa wa maisha !, lolote baya linaweza kukutokea kwa mipango ya mungu na hatimaye ukajikuta unaanza upya maisha. Kijana SOUD anapoteza macho yake huku akiwa na elimu ya juu, je nani atakua msaada wake?
Casts: Juma Kilowoko, Sud Ally, Leah Mussa, Amanda Mzungu, Suleiman Nassor, Suleiman Nassor, Ruwaida Abdallah, Juma Mrisho, Ahmedi Didi
Producer Soud Ally, Executive Producer Soud Ally, Director Uma Kilowoko, Story Suleiman Nassor, Camera Mathins Chalange, ticotico
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|