Home » Adventure, Horror, » Kimya


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Kimya

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Adventure/Horror/


SKU: |
VCD, DVD I, II |
Year - 2011

David, Seba, Vaileth na Sakina wako safarini, wanaelekea kuhudhuria sherehe za kutimoza miaka kumi ya kampuni ya Maji Murua. Wako ndani ya gari, David akiwa ndiye dereva. Katikati ya safari, kwenye eneo lilizongukwa na miti miti mrefu, wanamuona binti akiwa amesimama katikati ya…

More >
 
 

David, Seba, Vaileth na Sakina wako safarini, wanaelekea kuhudhuria sherehe za kutimoza miaka kumi ya kampuni ya Maji Murua. Wako ndani ya gari, David akiwa ndiye dereva. Katikati ya safari, kwenye eneo lilizongukwa na miti miti mrefu, wanamuona binti akiwa amesimama katikati ya barabara akipunga mkona kusimamisha gari walilomo.

Binti ni mwenye wasiwasi ana michubuko tele mwilini. David anajitahidikumkwepa, gari linapata linapata pancha. Akizunguka zunguka ndani ya pori, David anaokota kitabu chenye gamba la dhahabu. Kitabu chenye kichwa cha habari kinachosemeka Kimya.

Yaliandikwa ndani ya kitabu hicho yanatisha na kumsisimua, lakini hajali. David anapoamua kukichuku kitabu, anatokea mtu mzee ndani ya pori hilo akidai ni kitabu chake

Cast: Single Mtambalike, Hamis Korongo, Yusuf Mtengo, Salma Nishah

Story by Sulan Tamba, Script Octavian Natalis, Camera Rashid Mrutu, Light & Sound Hamis Salum, Production Manager Hashim Kambi, Producer Octavian Natalis & Sultan Tamba, Director Sultan Tamba

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More