Home » Adventure, Drama, Fantasy, » Kolelo


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Kolelo

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Adventure/Drama/Fantasy/


SKU: |
DVD I |
Year - 2009

Kwamba wafu hurudi tena duniani!! Pengine hizi ni habari mpya kabisa kusikika masikioni mwa watu wengi, lakini kwa watu wa Mvuha, kusikia magharibi wa mjini wenye milima mingi nchini Tanzania, Morogoro kwao hizi ni simulizi za matukio thabiti ya karne ya 19 kuhusu mzimu waliouamini,…

More >
 
 

Kwamba wafu hurudi tena duniani!! Pengine hizi ni habari mpya kabisa kusikika masikioni mwa watu wengi, lakini kwa watu wa Mvuha, kusikia magharibi wa mjini wenye milima mingi nchini Tanzania, Morogoro kwao hizi ni simulizi za matukio thabiti ya karne ya 19 kuhusu mzimu waliouamini, Mzimu wa Kolelo. Zipo njia tatu za kukufikisha kwenye pango la miujiza ya mzimu huu kwa kiluguru lililopo katika mlima Kolelo, uende mwenyewe kama una shida ya kutatuliwa tatizo lako ambapo wengi wamefanya hivyo, au uitwe na Kolelo mwenyewe ambapo huwezi kumkatalia. Ukishindwa yote hayo mawili au uiangalie filamu hii ya Irene Sanga wa Vango production.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More