Ritha, binti wa diwani na mbunge mtarajiwa anajaribu kumuokoa baba yake asikose nafasi ya ubunge anayoiwania baada ya picha zake mbaya kuvuja, Ni Picha alizopiga na Davie mtoto wa rafiki wa familia yao zilizohifadhiwa kwenye kompyuta ya mapajani (laptop). Ritha anajikuta akiwa na wakati mgumu na kuwa mtumwa wa mapenzi katika harakati za kuokoa picha hizo sizifikiwa wanasiasa na vyomb vya habari, hatimaye zinazagaa na kusababisha maafa makubwa…
Main Casts: Halima Ally, Hemed Suleiman, Simon Mwapagata, Jackson Kabiriti
Camera & Editor Farid Uwezo, Story Gallus Mpepo, Script Octavian Natalis, Location Manager Mohamed Dunda, Production Manager & Casting Korongo Hamis Kongoro, Continuity Christopher Dadu, Sound Anselem Antipas, Producer Octavian Natalis/ Gallus Mapepo, Executive Producer Octavian Natalis, BJO Entertainment & Steps Entertainment, Director Rashid Mrutu
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|