Home » Adventure, Drama, Educational, » Last Opportunity


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Last Opportunity

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Adventure/Drama/Educational/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2010

Ni kisa cha vijana waliohitimu masomo kutoka vyuo mbalimbali na hata hivyo kukosa ajira, mmoja kati ya vijana hao alipendelea kusoma vitabu vya historia ya mabo ya kale na alibahatika kusoma kitabu kilichokuwa kinaeleza dhahabu zilizofichwa zama za mababu katika milima ya Maguta…

More >
 
 

Ni kisa cha vijana waliohitimu masomo kutoka vyuo mbalimbali na hata hivyo kukosa ajira, mmoja kati ya vijana hao alipendelea kusoma vitabu vya historia ya mabo ya kale na alibahatika kusoma kitabu kilichokuwa kinaeleza dhahabu zilizofichwa zama za mababu katika milima ya Maguta sehemu hiyo ilikuwa na miujiza mingi sana, lakini wengi waliowahi kwenda huko walifanya matambiko kwa kuchinja mnyama mwenye miguu minne na kukaa siku nzima bila kula chochote na walipo kwenda huko walifanikiwa. Bisco anahisi amegundua njia ya mafanikio na kuwakusanya vijana wenzake kwa ajili ya kufuatilia dhahabu hiyo… fatilia kisa hiki

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More