Home » Action, Adventure, Drama, » Liganga
Liganga ni neno la kingoni ambalo linatumiwa sana na kabila hilo la wangoni kusini mwa tanzana-mkorni ruvuma (songea) hapa inaonekana kijana machachari na hatari ambaye ni mfanyabiashara wa madini katika mgodi wa kitai wilayani mbinga. Kutokana na tabia ya Abdul ya kudhulumu watu na kufanya mambo anayoyatakayeye anaundiwa mbinu ya kumpoteza na wafanya biashara wezake…Je mpango hou utafanikiwa?
Casts: Wastara Juma, Juma Kilowoko, Abdul Muhema, Aminari Saidi
Story & Script by AMINARI SAIDI directed by NASORO NDAMBWE produced by ABDULL MHEMA executive producer SPLASH written by WASTARA JUMA camera TIMOTI CANRADY sound AMADI KAZIMGURU light by AMADI KAZIMGURU
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|