Home » Drama, Romance, » Lonely Heart


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Lonely Heart

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Drama/Romance/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2011

Doric ni mwanamke anayejua sana kupenda, kwa bahati mbaya mno anakutana na mwanaume kwenye tamaa ya pesa na kujulikana kwake, na si mapenzi
ya kweli kama inavyotarajiwa. Hili ni tatizo linalowapata wanawake wengi… ungana na Doric katika kisa hiki cha kusisimua kinacholingana…

More >
 
 

Doric ni mwanamke anayejua sana kupenda, kwa bahati mbaya mno anakutana na mwanaume kwenye tamaa ya pesa na kujulikana kwake, na si mapenzi
ya kweli kama inavyotarajiwa. Hili ni tatizo linalowapata wanawake wengi… ungana na Doric katika kisa hiki cha kusisimua kinacholingana na ukweli uliopa. Filamu hii inakuja kulete changamoto mpya ya visa vilivyopo , Na watu kupata ufumbuzi wa fikra walizonazo kufikia kutatua tatizo lililopo.

Matatizo mengine katika mapenzi ni kama ndoto ya usiku na hili ametuonyesha wazi Doric baada ya kubaki moyo mpweke

Cast: Aunty Ezekiel, Yusuph Mlela, Haji Adam, Ndumbangwe Mesayo

Director Haji Adam, Sroty Aunty Ezekiel, Cameraman Lusubilo, Filming Hartman, Production Aunty Ezekiel

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More