Home » Action, Drama, Romance, » Mafisadi wa Mapenzi


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Mafisadi wa Mapenzi

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Action/Drama/Romance/


SKU: |
VCD, DVD I, II |
Year - 2011

Ni kisa cha kusisimua na kuburudisha kinachohusisha matukio tofauti ya mapenzi skendo na upelelezi kwa kutumia taaluma ya uandishi wa habari. Mkurugenzi Samson Kakele (JB) ni mtu maarufu sana jijini Dar-es-Salaam na nchi nzima kutokana na mafanikio makubwa aliyoyapata katika kuongoza…

More >
 
 

Ni kisa cha kusisimua na kuburudisha kinachohusisha matukio tofauti ya mapenzi skendo na upelelezi kwa kutumia taaluma ya uandishi wa habari. Mkurugenzi Samson Kakele (JB) ni mtu maarufu sana jijini Dar-es-Salaam na nchi nzima kutokana na mafanikio makubwa aliyoyapata katika kuongoza kampuni ya mawasilino ya B-Communications. Mafanikio hayo yanamfanya Samson kupata utashi wa kuingia katika
ulingo wa siasa baada ya kupata ushawishi mubwa kutoka kwa wananchi wa mkoani kwake. Mambo yote yanakwenda sawa kwa mkurugenzi Samson na mkwewe Doreen (Shamsa Ford) hadi pale siku moja ambap mmoja wa wanandoa hao anapoppkea simu inayoleta tafrani, mashaka na kubadili mwelekeo mzima wa maisha ya mkurugenzi Samson…

Cast: Jacob Stephen, Shamsa Ford, Shilole, Mahsein A Said, Jackline Wolper

Producer Manase GM, Story & Sciprt Manase GM, Camera & Editing Yusuph Qras, Director Mahsein A Said, Production Jet Set Technologies Co. Ltd. Sound Thabit Abdul, Light Alex Sponga

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More