Katika Kijiji cha Pumbao, mtoto yeyote atakayezaliwa mlemavu (Kisuo). Lazima atolewa kafara katika mizimu ya msitu wa sisinde. Kidawa, mtoto wa mwalimu wa shule ya mzingi anazaliwa akiwa albino,... je tafanyiwa kafara? Angalia Tabana-Suluhisho pekee kwa majibu yote
Casts: Bi Rehema, King Majuto, Mzee Tofi, Mudy Bonge
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|