Home » Adventure, Drama, » Millosis (City of Magic) S01E4-6


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Millosis (City of Magic) S01E4-6

Stock:
Our Price: $7.00
Genre: Adventure/Drama/


SKU: |
DVD I |
Year -

Millosis (City of Magic) Season One, episode 4-6

Kutokea jumba la dhahabu mtunzi na muongozaji bingwa wa tamthilia hapa nchini Tuesday Kihangala anakuletea hadithi tamu ya Millosis. Mapenzi ni sehemu muhimu katika maisha ya mwanadamu na hasa yakiwa ndani ya ndoa iliyoridhiwa…

More >
 
 

Millosis (City of Magic) Season One, episode 4-6

Kutokea jumba la dhahabu mtunzi na muongozaji bingwa wa tamthilia hapa nchini Tuesday Kihangala anakuletea hadithi tamu ya Millosis. Mapenzi ni sehemu muhimu katika maisha ya mwanadamu na hasa yakiwa ndani ya ndoa iliyoridhiwa na mwenyezi Mungu.

Kwa kawaida harusi ni tukio la pili furaha kwa mwanadamu lakini itakuwa tofauti kwa harusi ya Ttieo na Batuli baada ya kundi kubwa la watu waliosafiri kutokea Dares-Salaam kwenda Millosis kushuhudia harusi ya wawili hao wanajikuta wameingia kwenye mji wa adhabu.  Theo na Batuli wanajikuta safari ya harusi yao inawakutanisha mahasimu wawili baba Theo (Ganzel) na baba yake Batuli (Madiwa).
Fuatilia kisa hiki chenye utata mkubwa ndani ya tamthilia hii ya kwanza Tanzania inayotingisha Television nyingi Africa.

Casts: Charles Magari, Charles Makunja, Jacquline Pentzel, Ibrahim Banane

Story Tuesday Kihangala, Producer Tuesday Kihangala, Edited by Khamis Kihangala, Executive Producer Dilesh Solanki, Director Tuesday Kihangala

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More