Home » Drama, Romance, » Mistress


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Mistress

Stock:
Our Price: $8.00
Genre: Drama/Romance/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2009

Mengi yametokea na bado yataendelea kutokea, lakini kupitia filamu hii tutapata kujua mengi yaliyo tofauti na yale tuliyoyaona na kuyasikia. Mistress (Kimada) ni filamu ya kusisimua inayoelezea maisha halisi ya binti Miliam aliyehitimu kidato cha nne huko kijijini kwao Morogoro…

More >
 
 

Mengi yametokea na bado yataendelea kutokea, lakini kupitia filamu hii tutapata kujua mengi yaliyo tofauti na yale tuliyoyaona na kuyasikia. Mistress (Kimada) ni filamu ya kusisimua inayoelezea maisha halisi ya binti Miliam aliyehitimu kidato cha nne huko kijijini kwao Morogoro na kuchukuliwa na familia ya Mr Kelvin Dar-es-Salaam kama mfanya kazi wa ndani. Hapo ndipo kizaazaa kilipoanza mara baada ya binti huyo kulijua jiji, mimi na wewe hatujui kilichotokea hivyo fuatilia filamu hii ya kusisimua ili tupate jibu…

Casts: Happyness Emanuel, Regina Joseph, Victor Bhwana, Lay, Tini White, Kione, Kapturado, Charles Magari, Mashoo, Omary Mwinshehe

A Sky Link Film Presents Mistress “Kimada” Story Victor Bhwana, Script Victor Bhwana, Editor Godfrey E. James & Kione, Assistant Producer Nele Mwamakula, Project Manager Lay, Cameraman Godfrey E. James, Location Manager Nele Mwamakula, Makeup Mercy Bhwana

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More