Home » Adventure, Drama, Family, » Mpishi


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Mpishi

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Adventure/Drama/Family/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2011

Ni Hadithi Iliyoizunguka Familia Ya Mzee Douglas Ambayo Tabia Zao Ni Za Ajabu. Kwa Familia Hiyo Kuwa Na Mfanyikazi Ambaye Angeishi Kwenye Nyumba Ile Kwa Muda Ilikuwa Ni Mbinde. Jamaa Mmoja Kwa Jina La Iqbal Ambaye Anakwenda Pale Kuomba Kazi Kama Mpishi, Anafanikiwa Kuielewa Familia…

More >
 
 

Ni Hadithi Iliyoizunguka Familia Ya Mzee Douglas Ambayo Tabia Zao Ni Za Ajabu. Kwa Familia Hiyo Kuwa Na Mfanyikazi Ambaye Angeishi Kwenye Nyumba Ile Kwa Muda Ilikuwa Ni Mbinde. Jamaa Mmoja Kwa Jina La Iqbal Ambaye Anakwenda Pale Kuomba Kazi Kama Mpishi, Anafanikiwa Kuielewa Familia Ile Kwa Haraka Mno Na Anachukuwa Jukumu La Kuinganisha Familia Ile. Baada Ya Yeye (Ikqbal) Ambaye Yeye Ni Profesa, Kufanikisha Malengo^Yake… Anaacha Kazi Pale Kama Mpishi1 Lakini Anaapa Kuzisaidia Familia Kama Ya Mr Douglas Kuhusu Upendo, Amani Na Umoja Na Kuziunganisha Kwa Pamoja. “Kumbuka Ni Rahisi Kuwa Na Furaha, Lakini Ni Vigumu Sana Kuwa Muelewa

Cast: Cloud 112, Ahmed Olot, Lucy Charles, Mary Myakunga, Ebby Skyes, Monica Semakula, Suleiman Barafu, Noor Shabani

Its a Pili Pili Entertainment Co. Ltd. Written & Directed by sameer Srivastava Produced by - Sameer Srivastava & Sajani Srivastava Executive producer - Pranav path, Camera - Ibrahim and Mahadev Nare Sound Recordist - Pawan Kumar Makeu Artist - Monica Semakuia gfx & title - shazzad khan Business head - Kawal Hanspal Lights - Abdul Rashid

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More