Home » Drama, » Mr & Mrs Sajuki
Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi ni mtukufu na ni mwingi wa upendo kwa viumbe wake wote waliopo chini ya mbingu. Aliumba watu wa aina mbili ili kuipamba dunia mwanaume na mwanamke na aliweka furaha na huzuni kwa viumbe wote hawa wawili ili kupima imani yao. Kipindi cha furaha nikipindi ambacho kila mwanadamu anatamani kikae daima kwakuwa moyo huwa na imani na furaha. Na huwezi amini kama kuna mungu kamwe kama ukiwa katika furaha tu, ili uamini kuna mungu lazima upitie kwenye majaribu.
Casts: Juma Kilowoko, Wastara Juma
Producer Wastara Juma, Executive Producer Steps Entertainment, Director Leah Richard, Cameraman John Lister, Hassan Lister, Hassan Mbangwa, Hassan Mahimbali, Editor Hassan Mahimbili, Story Wastara Juma
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|