Home » Comedy, » Ndoto ya Tamaa
B Ray ni mama mjane mwenye familia ya watoto 3, ambae alipitia wakati mgumu katika maisha yake ila katika wakati huo huo mgumu iifikia kipindi ambacho alilala na kuota ndoto ambayo ilimuelekeza kwenda upande fulani wa shamba lake ambapo kulikua na mali ambazo zilihifadhiwa na jini kwa muda mrefu. Ndipo wanakijiji wengi wakaingia tamaa na kuiga mfano wake bila ya kujua kama B ray ilitunukiwa, je..? wanakijiji hao watfanikiwa kuiga mfano wake ili nao wapate mali, itazame ili kujua
Casts: Amri Athumani (King Majuto)
Camera & Editor-Mohammed hadi \ Final editor-Omar Hassan Light & boom-Hassan Mwongerezi \ Costume & make up-Melisha Hassor Producer-Melisha media production | Ex-producer- Nassor Mohamed Abdi
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|