Nyambizi ni comedy ya kusisimua na kuburudisha pale tunapomwona mdada Johari anapoambukizwa ugonjwa wa ukimwi anapoamua kusambaza virusi hatimaye baadae anamuambukiza baba yake mzazi. Fuatilia comedy hii…
Cast: Kingwendu, Defender, Zimwi, Shangazi, Johari & Ujio.
Story & Script Writer- Kinyanje, Sound Man- Sele, Editing- Sureman Omary, Director- Rajabu Shabani, Camera Man- Juma Selemani, Graphic Designer- Regani Ice.
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|