Home » Action, Fantasy, Romance, » Pigo


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Pigo

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Action/Fantasy/Romance/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2010

Pigo ni hadithi ya kusisimua inayomzunguka mafahari wawili kati ya Zitta na Robi , Robi na Zitta ni wapenzi ambao wanakuja kukutana katika penzi zito bila ya kutegemea hapo baadaye kai yao mmoja anakua adui wa mwenzie. Baba Zitta kutokana na Kazi mbaya za Uharifu anazozifanya ndio…

More >
 
 

Pigo ni hadithi ya kusisimua inayomzunguka mafahari wawili kati ya Zitta na Robi , Robi na Zitta ni wapenzi ambao wanakuja kukutana katika penzi zito bila ya kutegemea hapo baadaye kai yao mmoja anakua adui wa mwenzie. Baba Zitta kutokana na Kazi mbaya za Uharifu anazozifanya ndio chanzo kikubwa cha kuja kuharibu mahusiano ya wapendanao hao wawil kati ya Zitta na Robi.

Baba Zitta anashiriki kikamilifu katika mauaji ya Baba yaje Robu na hatimaje Robi anapambana kutafuta kwa yule aliyemuua baba yake Robi na hatimaye Robi anapambana kutafta kwa yule aliyemuua baba yake na anafanikiwa kulipiza kisasi na kuishia gerezani ... je tutafila?

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More