Home » Drama, » Safari ya Mapenzi


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Safari ya Mapenzi

Stock:
Our Price: $10.00 $8.00
You save: $2.00! (20%)
Genre: Drama/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2010

Hii ni hadithi inayoelezea maisha ya mwanadada Doreen bintiye Dimoso wapekee ni mtoto mwenyeji maadili mema ya kidini.Baada ya Mzee wake Doreen Mr Dimoso kufariki binti alianza] kubadilika kitabia alipoingia katika mahusiano alitokea kumpenda sana kijana Brian na mwanaminifu sana…

More >
 
 

Hii ni hadithi inayoelezea maisha ya mwanadada Doreen bintiye Dimoso wapekee ni mtoto mwenyeji maadili mema ya kidini.Baada ya Mzee wake Doreen Mr Dimoso kufariki binti alianza] kubadilika kitabia alipoingia katika mahusiano alitokea kumpenda sana kijana Brian na mwanaminifu sana kwake lakini Brian yeye yuko tofauti kwake,Yeye ni mtu wa kutoka na wasichana wengine ingawa anampenda sana Doreen..

Penzi la Doreen na Brian linakuja kuingia doa baada ya Janeth mdogo wake Flora rafiki yake Doreen kuingilia mahusiano. Doreen richa ya kumfuma Brian na wanawake tofauti. Siku moja hakuamini alipomkuta Brian na Janeth katika raha za mahusiano yao ilimuuma sana hadi kutaka kujiua. Mwisho atimaye Brian anajikuta yuko katika safari ya mapenzi ni namna gani gani ataweza kurejesha furaha yake kwa mpenzi wake Doreen…

Casts: Hancy Mikidady, Halima Yahaya, Jenifa Ernest, Zahoro Geofrey, Matha George, Mohammed Likulo, Mwajuma Ramadhani, Evodious Lunda, Emmanuel Chacha

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More