Ndani ya nyumba ya msichana huyu mgeni kwenye mji wa watu, kuna kitu kinazuka. Mtu anayefanana na yeye kwa kila kitu, anaonekana akirandaranda!, Ni mtu mwenye historia nzito. Mtu mwenye macho ya njano na hasira. Kuna kitu kwenye sinema hii, kupitia mtu huyu.
Casts: Issa Musa, Latifa Idabu, Hashim Kambi
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|