Home » Drama, Romance, » The Season of Love
Maisha ni kupanda na kushuka, hakuna maana kukata tamaa kwasababu ya kukosa. Katika maisha mapenzi ni kitu muhimu sana,. hasa umpate mwenye mapenzi ya dhati kwako.
Msichana Helieth anajikuta akipata wakati mgumu katika mapenzi,.. lakini alijaribu kuitetea nafsi yake ili asije kuangamia
Casts: Riyama Ally, Herieth Kahembe, Omari Saidy, Daudi Michael
Production; D-Production, Story and Script by Daudi Michael, Camera Fareed Nankape, Edited by Kenny Haych, Directed by Daudi Michael
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|