Home » Drama, Family, Spiritual, » The Village Pastor
Nini kitakachotokea ikiwa mke/mume wa mchungaji ataisaliti ndoa yake? na ikiwa ametubu na kusamehewa, hatua gani zichukuliwa ikiwa atarudia kosa hilo? wewe utamsamehe mara ngapi mtu mwenye kosa hilo?
Casts: Pastor Isaya, Steven Kanumba, Aunty Ezekiel, Ahmed Olotu, Charles Magari, Nurdin Mohamed, Hamis Changare
Game 1st Quality Tz Ltd. presents The Village Pastor, story Mtitu G. Game, Screen Play Steven Kanumba, P.M Mayasa Mrisho, Camera Zakayo Magulu, Sound Rahim Khatib, Editor Emil IIza, Producer Steven Kanumba, Executive Producer Mtitu G. Game, Director Mtitu G. Game
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|