Zee la Hodi ni Comedy iliyojaa Visa na matukio kibao ya kuchekesha na kuelimisha kwa watu wa rika zote kutoka kwa wasanii nguli kwenye fani ya uchekeshaji nchini ambayo hutojutia kuinunua na kuitazama.
Casts: Kudura Cluselo (Kidy), Khamis Chigwalu (Zimwi),Rashid Mzenga (Kingwendu), Hassani Moshi (TZ Junior), Uswege Mbepo (Uswege), Somangiza Bakari (Lin Wayne), Jacob Mkweche (Ringo)
Executive Producers Kapico Tanzania
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|