Home » Casts » Hamisi Changare, Mtanga
Hamisi Changare, Mtanga
Other Name/s: Hamisi Changare, Mtanga
Actor | Commedian |
Nilizaliwa July 27, naitwa Mtanga, au Baba Shadya! katika michezo ya kuigiza na vichekeho, Mimi ni mmoja wa mchekeshaji mahiri nchini Tanzania. Ucheshi nimeanza mwaka 2001, baada ya kuhitimu elimu ya sekondari pale Azania. Napenda sana kujifunza vitu tofautitofauti, hasa kutoka kwa wasanii wachanga. Zaidi ya kuchekesha, mimi pia ni muimbaji mzuri sana na ni mcheza mpira wa miguu, nambari 10 mgongoni!
Filmography / Discography
- Utanibeba |
- Mchaka Mchaka |
- Babatan |
- Domo Zege |
- Nyama Choma |
- Muuza Mboga |
- Mpangaji |
- Mbuzi wa Shughuli |
- Shuga Mammy |
- Simu ya Kichina |
- Pedeshee |
- Waiter |
- Inye Plus |
- Inye Gwedegwede |
- Inye Vol.1 |
- Mizengwe |





























