Jane's Journey

Home » Casts » Joketi Mwegelo


Joketi Mwegelo

Actor | Model | Singer

Joketi Mwegelo

Joketi alizaliwa Washington DC nchini Marekani mwaka 1987 ambako wazazi wake walikuwa wakifanyia kazi.Primary amesoma Olympio Primary School,Dar-es-Salaam. Secondary amesoma St.Anthony’s Secondary School na High school amesomea Loyola High School, na alimemaliza Chuo Kikuu cha Dar es salaam katika Political Science.

Mwaka 2006 alishika nafasi ya pili (2) katika Miss Tanzania, na mbali na kuwa mcheza cinema Joketi amekuwa akijishughulisha katika Mavazi, Master of Ceremony (MC), Mwimbaji na Maendeleo ya wanawake, TV host / na shows mbalimbali za kijamii

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Joketi Mwegelo
  • Twitter Page of Joketi Mwegelo
  • YouTube of Joketi Mwegelo
  • Website of Joketi Mwegelo
 

More Photos

 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More