Jane's Journey

Home » Casts » Steven Sandhu


Steven Sandhu

Actor | Model

Steven Sandhu

Mwigizaji Nyota wa filamu kutoka Maisha Plus Steven Sandhu ambaye kwa sasa anafanya vizuri katika tasnia ya filamu swahiliwood, Msanii huyo amekuwa kivutio katika filamu nyingi kutokana na staili yake ya nywele ambavyo uziweka, mwenyewe anasema kuwa awali aliingia katika uigizaji lakini hakupewa mbinu za uigizaji na alikuwa anajiona kama yupo sawa lakini alipobahatika kukutana na Muongozaji wa filamu wa kimataifa Karabani na kufundishwa wakati akiigiza filamu ya CPU alijiona kuwa kumbe alikuwa bado katika uigizaji, anaamini kuwa hali hiyo ndio ipo kwa wasanii wengi nchini

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Steven Sandhu
  • Twitter Page of Steven Sandhu
  • YouTube of Steven Sandhu
  • Website of Steven Sandhu
 
 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More