Jane's Journey

Home » Casts » Tuesday Kihangala


Tuesday Kihangala

Other Name/s: Tuesday Kihangala ‘Chuz’

Date/s: 14 November 1971

Actor | Director | Film Writer | Producer

Tuesday Kihangala ‘Chuz’

Moja kati ya Filamu alizoongoza Kihangala ni hii Tuesday Kihangala (amezaliwa tar. 14 Novemba, 1971) ni mwongozaji na mtunzi wa filamu kutoka nchini Tanzania. Aliwahi kuigiza kidogo sana katika kundi la sanaa la Kaole, na baadaye kwenda kujianzishia kundi lake mwenyewe la maigizo ya sanaa nchini Tanzania.

Kundi linakwenda kwa jina la “Fukuto Arts” lenye makazi yake huko Kinondoni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Hivi karibuni wanatamba na tamthilia ya Jumba la Dhahabu, inayoonyeshwa na Televisheni ya Taifa ya Tanzania.

Filmography / Discography


External Links

  • Facebook Page of Tuesday Kihangala
  • Twitter Page of Tuesday Kihangala
  • YouTube of Tuesday Kihangala
  • Website of Tuesday Kihangala
 
 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More