Home » Highlights » Itika Mwakasuka kucheza film ya False Engagement
Itika Mwakasuka kucheza film ya False Engagement
Posted: 18 Sep, 2012Itika Mwakasula, Mtanzania anaeishi Dalas, Texas nchini Marekani akiwa kwenye Lost In Abroad video release Ijumaa Aug 17 mjini Dallas, TX na sasa amecheza sinema Ingine inayoitwa false engagement ambayo katika sinema hii Mtanzania ni yeye na Wakenya ni wawili pia wanatarajia kuja kuizindua Bongo mwakani. For more information about the dvd unaweza kwenda www.falseengagement.com/
False Engagement (2013), the Film
There are recent news about some men murdering their wives. What could possibly drive a man to murder the woman he supposedly loves? This story is about deceptions and rage in relationships. What would you do when your heart gets broken by the one you love? BIGOBI and the Writer/ Director/ Producer of LOST IN ABROAD movie, Chijindu Kelechi Eke, will release this thriller in Spring 2013. Written by Chijindu Kelechi Eke
Trailer