Home » Highlights » Msanii wa Bongo Movie John Stephan .a.k.a Big John afariki Dunia


Msanii wa Bongo Movie John Stephan .a.k.a Big John afariki Dunia

Posted: 25 Nov, 2012

Msanii wa Bongo Movie John Stephan .a.k.a Big John afariki dunia ghafla katika hospitali ya Muhimbili akiwa anasumbuliwa ana matatizo ya tumbo ambayo amekuwa akisumbuliwa kwa kipindi sasa

Marehemu John Stephano Maganga

Ikiwa ni baada ya tasnia ya filamu ya bongo(bongo movie) kuondokewa na msanii Mlopa sasa leo hii imetokea pigo jingine kwa kuondokewa na msanii John Stephan Maganga a.k.a BIG JOHN,ambaye kacheza movie ya Mrembo Kikojozi na Aunt Ezekiel na film iitwayo Baamed.iliyowashirikisha Nice na Irene Uwoya,

msanii huyo kafariki katika hospital ya muhimbili wakati akiwa katika chumba cha upasuaji,mungu ailaze mahali pema peponi

Reviews / Comments

 
 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More