Home » Highlights » Sharo Millionaire a.k.a Hussein Mkiety Afariki Dunia mjini Tanga

Sharo Millionaire a.k.a Hussein Mkiety Afariki Dunia mjini Tanga

Posted: 27 Nov, 2012

Msanii wa muziki na filamu za vichekesho Hussein Ramadhani Mkieti a.k,a SHARO MILLIONAIRE - Amefariki usiku wa tarehe 26 kwa ajali ya gari iliyotokea alipokuwa akielekea Tanga nyumbani Kwao.

Msanii huyo aliyekuwa anakuja juu kwa kasi ya ajabu kwa umahiri wake wa muziki wa kizazi kipya pamoja na matangazo ya biashara aliyokuwa akifanya na msanii mkongwe mzee Majuto katika kutangaza Airtel Money

Maelezo Zaidi ya Sharo Millionare Hapa
http://www.bongocinema.com/index.php/casts/view/hussein-mkiety

Reviews / Comments

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More