Home » Action, Drama, » Albino Mgeni


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Albino Mgeni

Stock:
Our Price: $10.00 $7.00
You save: $3.00! (30%)
Genre: Action/Drama/


SKU: |
DVD I, II |
Year - 2011

Guvumali, kijana msomi anayefanya kazi kwenye shirika la Bima, anaandaliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa shirika hilo ili kumrithi mkurugenzi aliyepo anayetarajia kustaafu. Anapewa mtihani wa kwanza wa kumuandaa awe mkurugenzi wa shirika hilo kwa kwenda kufungua tawi jipya la Bima nje…

More >
 
 

Guvumali, kijana msomi anayefanya kazi kwenye shirika la Bima, anaandaliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa shirika hilo ili kumrithi mkurugenzi aliyepo anayetarajia kustaafu. Anapewa mtihani wa kwanza wa kumuandaa awe mkurugenzi wa shirika hilo kwa kwenda kufungua tawi jipya la Bima nje ya jiji la Dar.Siku ya kwanza anapofika huko, akiwa nyumbani kwake usiku anagongewa mlango na albino wa kike akihitaji msaada, lakini anapomkaribisha ndani, Albino huyo anamtolea bastola akitaka kumuua. Nguvumali anafanikiwa kumnyang’anya bastola Albino na kumlenga yeye, lakini wakati anamhoji, Albino anaanguka chini akiwa amepigwa risasi na kufa. Kwa hofu ya kutiwa hatiani kwa mauaji, Nguvumali anaamua kumzika Albino kwa siri. Siri inayoibua makubwa huku mchumba wa Nguvumali aitwae Harieth akijikuta ndani ya kadhia hiyo kubwa. Je nini kinafuata…?

Casts: Eliya Njatta, Sophia Nutkel, Latifa Idabu & Flora Ndungi.

Story- Sultan Tamba; Script- Octavian Natalis; Camera- Rashid Mrutu, Sound & Light- Hamis Salum; Casting & Location Manager- Hashim Kambi; Continuity- Christopher Dadu; Driver- Seleman Mhando & Karim Ahmed; Location Manager Assistant- Aziz Salaa & Stanley Magari; Costume & Make-up- Suma Suitbert; Production Manager- Hashim Kambi; Producer- Octavian Natalis & Sultan Tamba; Director- Sultan Tamba.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More