Home » Drama, Family, » Baharia


 
  • Click Image to Enlarge

    Bookmark and Share

Baharia

Stock:
Our Price: $8.00
Genre: Drama/Family/


SKU: |
DVD I, II |
Year -

MJINI: Ammar kijana aliyelelewa kwenye maadil ya dini anazama kwenye penzi la mwanamke asonamaadili, na anaamua kwenda kumtambulisha kwao, naye mama yake hayuko tayari mwanawe amuoe mwanamke huyo, nini kitatokea?

KIJIINI: Pia, baada ya Ummi kulazimishwa kuolewa mume asiyeendana…

More >
 
 

MJINI: Ammar kijana aliyelelewa kwenye maadil ya dini anazama kwenye penzi la mwanamke asonamaadili, na anaamua kwenda kumtambulisha kwao, naye mama yake hayuko tayari mwanawe amuoe mwanamke huyo, nini kitatokea?

KIJIINI: Pia, baada ya Ummi kulazimishwa kuolewa mume asiyeendana na maadili yao amabe ni Baharia, kwatamaa ya wazee wake Muhogo Mchungu na Bi Chonde dhidi ya utajiri wa mume. Ummy anaamua kutoroka kwao msitu na nyika kumkimbia mume. Na anakutana na Ammar uso kwa macho na shauku ya mapenzi inadhihirika kutoka kwa Ammar baada ya kumuona Ummi mke wa watu, lakini Ummy ana maadil na ameolewa na mume asiyemtaka, KULIKONI?

Casts: Muhogo Mchungu, Ammar Ruweih Nassor, Bi Chonde, Subira Omar

AMMAR PRODUCTION Present BAHARIA, Story Subira Nassor, Producer Ammar Ruweih Nassor, Camera Haji Mgwami.

To Order this Movie Contact hbfaru@hotmail.com or Tel: +255 713 866 600 / +255 773 866 600 / +255 767 866 600; Contact Name Ammar Ruweih Nassor

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Email will NOT be shown publicly

 

 

 

 
 

ABOUT US

BongoCinema.com is a one-stop online shop offering a huge variety of Bongo Movies on DVDs and Videos from Tanzania ...

Read More

HELP CENTRE and FAQ

# How do I make an order? # How long will it take to receive my order? # What Payment Options do I have? # Cancel my order? ...

Read More

Our Products

Action; Adventure; Comedy; Crime; Documentary; Drama; Educational; Family; Fantasy; History; Horror; Musical; Romance; Spiritual...

Read More

Comments /Maoni

John said, "I think I saw one of those bongo movie … you know those movies of the week. ... toa maoni yako kwenye bongo movie...

Read More