Home » Drama, » Safari ya Adili
siku zote katika kutafuta maisha vijana wengi hupatwa na wakati mgumu sana katika kufanaya maamuzi yakimaendeleo, wapo wanaofata njia mbaya na wale wafatao njia kama za ADILI, Safari ya Adili ilikuwa na nini ? Fuatitia
Casts: Hussein Mkiety (Sharo Millionea), Juma Cheke, Leah Abdallah
Producer Gumbo Kiokorota, Production SPLASH, Director Gumbo Kiokorota, Editor Michael Kilo, Cameraman Mathael Dieegre
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|