Home » Drama, Spiritual, » Ray of Hope
Annette ni mwanamke mwajiriwa aliyewezesha kampuni anayofanya kazi ya uwakala wa matangazo, kupata mafanikio makubwa na hatimae kutunukiwa tuzo kadhaa. Anasherehekea mafanikio yake na mpenzi wake Jimmy. Punde, anatambua ana maambukizi ya virusi vya Ukimwi, masiha yake yanabadilika makondo. Mwajiri wake anapofahamu ukweli na hali yake, anafukuzwa kazi yake. Issa , mwanasheria wake anawakilisha mahakama kudai heshima na haki yake ya kufanya kazi. Je, atafanikiwa kushinda madai ayek? Je? atapata mwanga wa mategemeo?
Casts: Ndumbagwe Misayo, Ahmed Olotu, Pastor Myamba, Hashim Kambi, Thecla Mjata, Baby Madaha
Written and Directed by Sajni Shristava, DOP Ibrahim, 2nd Unit Camera Mahadev Nare, Editor Osama, Gfx Shazzad Khan, Sound Recordist Pawan Kumar, Producer by Sammer Srivastava & Sajni Srivastava
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|