Home » Action, Drama, Romance, » Payback
ni hadithi ya kusisimua iliyoshehenI mapenzi,usaliti,mtiririko wa fedha na uliraji kisasi. waingereza wanasema mapenzi ni upofu “love is blind na hay a yanahusishwa na penzi kuu kati ya brian anayempenda rebbeca kwa dhati. rebecca ni kila kitu kwa brian na h/lo linadhihirika wazi .Rebecca anaonekana kutokuwa mwaminifu kwenye penzi hillkwa upande mwingine yupo anayewatizama kwa umbali na huyu ni david, david ni mtu mwenye kufanikisha kila anachopanga hasa cha utapeli na wakati mwingine huwaua waathirika wake,hili hulitekeleza pamoja na rebbeca. i la wakati huu anamchezea mchezo mb ay a Brian ambaye siye mtu wa kuchezewa ovyo. na hapo ndipo mwanzo wa mchezo.
imefika muda wa kulipiza kisasi.
Casts: Yvonne Cherry, Steven Kanumba, Yusuf Mlela
Pilipili Entertainment Co. Ltd. Payback, Produced by Sameer Srivastava & Sajni Srivastava, Written & Directed by Sajni Srivastava, Director of Photography Vinod Panchal, Supervisor Editor Vikas Gupta, Editor Paul. W Isangi, Art Director RItesh Jadhav, VFX Shazzad Khan
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|