Home » Drama, Romance, » Beautiful
Wakati mwingine hata familia haitasikika palipo na mvumo wa sauti ya mapenzi unaweza kupata kichaa na hata kujiua pale penzi linapokolea halafu vinaingia vikwazo. hakuna anayeweza kugundua kigezo kikubwa cha mmoja kuangukia penzi kwa mwenzake japo kizazi cha sasa hudhani pesa ndio kila kitu katika mapenzi. kwa kauli hizi zinawafanya wasichana warembo Rehema Chalamila (Popoo) na Asnathi Mathias (Tony) kubaki njia panda. Mateso huwa hayabaki kwa moyo mmoja kwa kuwa kila mwanamke humwita handsome yule ampendae, hapa kila mmoja huumiza moyo wake kwa kile anachoiamini juu ya mapenzi. Tuesday Kiangala (Delima) anajikuta akizurula na farasi kama mwehu kumsaka Beautiful ambaye tayari ameshalowea kwa mpiga malimba stadi January Nyamda (Tony)
Casts: Ray C, Chuzi, Tony & Magari
No Reviews at the Moment
Submit Reviews
Email will NOT be shown publicly | |
![]() |
|